MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA WATUA JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Jun 2013

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA WATUA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwili wa Marehemu Albert Mangweha Ukibebwa na baadhi ya wasanii wa muziki hapa Tanzania ukitoka uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wasanii waliokuja kuu pokea mwili wa Albert Mangweha
Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliokuja uwanja wa ndege kuupokea mwili wa Marehemu Albrert Mangweha
Jeneza alilomo Marehemu Abert Mangweha .Picha kwa hisani ya Dj Fetty Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad