MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA BEYONCE AMPONGEZA MCHEZAJI MAARUFU WA TENNIS SERENA WILLIAMS - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Jun 2013

MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA BEYONCE AMPONGEZA MCHEZAJI MAARUFU WA TENNIS SERENA WILLIAMS

Mwanamuziki wa kimataifa Beyonce (kushoto) akipiga picha na mchezaji maarufu wa Tenisi duniani wa kike Bi. Serena Williams (kulia) ,pia Beyonce alimuandikia  Serena katika ukurasa wake wa kijamii barua ya kumpongeza kwa ushindi alioupata katika mashindano yaliyofanyika ufaransa (french Open).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad