MAPOKEZI YA MWILI WA ALBERT MANGWEHA MOROGORO - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Jun 2013

MAPOKEZI YA MWILI WA ALBERT MANGWEHA MOROGORO

 Sehemu ya pikipiki na umati wa watu waliokuwa pembezoni mwa barabara kushuhudia msafara huo.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, KITALE, akisalimiana na mashabiki wake baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu. Msanii huyu mchana alitoka kali ya mwaka kwenye viwanja vya Leaders, baada ya kuibiwa simu na kumkamata mwizi wake na kisha kumpakia kwenye gari na kutokomea nae kusikojulikana.
 Msanii Afande Sele, akiwapokea wageni waliowasili na msafara huo.....
 Askari akitanga kiatu alichokiokota baada ya raia kusukumana eneo hilo wakigombea kuona jeneza lenye mwili wa marehemu.
Ulinzi pande hizi za nyumbani uliimarishwa kama hivi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad