Maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yaendelea nchini ghana - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Jun 2013

Maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma yaendelea nchini ghana

IMG_5094Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha kutaka kupata ufafanuzi juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa umma kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali,  kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam Mnzava Nchini Ghana. IMG_5097Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya  Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi wa Umma katika kupata Mikopo. IMG_5127Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya  Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi wa Umma katika kupata Mikopo.Na fullshangweblog.com

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad