HARUSI YA PAUL JAMES SWEYA (PJ), SWAHIBAAAA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Jun 2013

HARUSI YA PAUL JAMES SWEYA (PJ), SWAHIBAAAA

Prince Baina Kamukulu akitoa mapongezi zake kwa Paul James Sweya (PJ),baada ya kufunga harusi yake jijini Dar es Salaam.


Mkuu wa Vipindi Clouds fm Bw. Sebastian Maganga ,BONGE ,Albert G. Sengo wakiserebuka Katika Harusi ya Paul James Sweya (PJ) iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Namuona papaa Gerald Hando na Barbara Hassan wakiserebuka Katika Harusi ya Paul James Sweya (PJ) iliofanyika jijini Dar es Salaam..
Marafiki wakaribu wa PJ waki show - Love Katika Harusi yake iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa Bongo Movies wakiwa jijini Moshi kusaka vipaji vipya vya tasnia hiyo,ndani ya Serengeti Fiesta 2012

Mkuu wa Vipindi Clouds fm Bw. Sebastian Maganga akizungumza yake Katika Harusi ya Paul James Sweya (PJ) iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Gerald Hando akizungumza machache hapo kwa Swahiba wake Katika Harusi ya Paul James Sweya (PJ) iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Regina Mwalekwa akizungumza machache Katika Harusi ya swahiba wake Paul James Sweya (PJ) iliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha kwa zaidi Bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad