TUKIO LA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA SAYANSI NA TEKNOLOJIA -TENGERU ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Nov 2012

TUKIO LA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA SAYANSI NA TEKNOLOJIA -TENGERU ARUSHA

Wasanii wa Bongo Movies wakiwa jijini Moshi kusaka vipaji vipya vya tasnia hiyo,ndani ya Serengeti Fiesta 2012
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ,pamoja na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ,pamoja na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ,pamoja na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi pamoja na mzee huyo mfupi, kwa jina maarufu anaitwa Pallangyo katika uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ,pamoja na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ,pamoja na Mkuu wa chuo Mhe. Dr. Gharib Bilal ambae ni Makamu wa Raisi wakimsikiliza mkufunzi wa chuo hicho katika uzinduzi wa chuo kikuu cha Nelson Mandela Sayansi na Teknolojia Kampasi ya Tengeru Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad