TEA WACHANGISHA MILIONI 200 KATIKA HAFLA YA JIONI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Nov 2012

TEA WACHANGISHA MILIONI 200 KATIKA HAFLA YA JIONI



  Kutoka kulia ni Waziri wa Elimu  Dr. Shukuru Kawamba,Dkt Asha Rose Migiro ambae na Mratibu wa Elimu.
 
                    Mkurugenzi wa Blog ya 8020 Fashions Bi. Shamim akikabidhi mchango wake na wadau wengine walizochanga.
  Bi. Nancy Sumari nae alichangia mchango huo.
Muda wa kula uliwadia sasa...Nancy Sumari yuko hapo mbele ...!!!
Bi. Shamim wa blog ya 8020 Fashions kushoto akishangilia jambo ,kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Bw. Innocent Mungy nae alihudhuria hafla hiyo. 
Gadiola Emanuel

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad