SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA ASHIRIKI MAZISHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Nov 2012

SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA ASHIRIKI MAZISHI


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu mzee Shree Jayantilal Pragji Rajani, maarufu kama Mzee Rajani kuhani Msiba.Mzee Rajani alifariki jumatano 21 Novemba, 2012 mjini London alikokuwa amelazwa
 
 Spika Anne Makinda akisaini kitabu cha waombolezaji
 
 Mzee Pius Msekwa na Anne Abdallah Wakisaini Kitabu
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshma za mwisho kwa marehemu  wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Rajani nyumbani kwake upanga
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Makamu  Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa mzee Rajani
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mzee Kingunge
Spika wa Bunge Mhe. Anne MakindaAkisalimiana na Mzee Pius Msekwa
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda Akisalimiana na Mama Anne Mkapa
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mzee Salim Ahmed Salim
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda Akisalimiana na Mmoja wa Waombolezaji,Katikati ni Rostam Azizi Picha zote na Owen Mwandumbya-Bunge

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad