RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AZINDUA HOSPITALI -ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Nov 2012

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AZINDUA HOSPITALI -ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la  Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya aliyoifungua.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya iliyoifungua ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad