MUNGU AILAZE ROHO YA HUSSEIN RAMADHAN "SHARO MILIONEA "MAHALI PEMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Nov 2012

MUNGU AILAZE ROHO YA HUSSEIN RAMADHAN "SHARO MILIONEA "MAHALI PEMA

 Humu ndimo amelala mpendwa wetu marehemu Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea'
 Imam akiongozo sala ya maiti
 Ndugu jamaa na marafiki waliojumuika katika dua
 Dua ikiendelea
Umati wa watu ulofika kumsindikiza mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea kuelekea nyumba yake ya milele
 Umati wa watu mchana huu katika mazishi ya marehemu Sharo Milionea Muheza, Tanga
Rafiki kipenzi na mwigizaji nguli wa Tanzania Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa mkono huku wakielekea kwenye mazishi mchana huu Muheza Tanga. Picha Na Jiachie Blog ( http/:www.michuzijr.blogspot.com )

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad