Mudhihiri Mudhihiri Aongelea Bei za Korosho - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Nov 2012

Mudhihiri Mudhihiri Aongelea Bei za Korosho



Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihiri Mudhihiri (kulia) akiwaandikia waandishi wa habari jina lake wakati wa mkutano baina yao uliofanyika leo makao makuu ya bodi hiyo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihili Mudhihili (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo makao makuu ya bodi hiyo jijini Dar es Salaam kuhusu bei ya mkulima ya kununulia korosho msimu wa 2012/2013 kuwa shilingi 1200 kwa daraja la kwanza na 960 kwa daraja la pili. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa bodi ya Korosho Tanzania Theofora Nyoni.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano baina yao na bodi ya korosho uliofanyika leo katika ofisi za bodi hiyo jijini Dar es Salaam wakijitahidi kupata matukio muhimu ya mkutano huo. Katika mkutano huo Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Mudhihiri Mudhihiri (hayupo pichani) alisema kuwa bei ya mkulima ya kununulia korosho msimu wa mwaka 2012/2013 ni shilingi 1200 kwa daraja la kwanza na 960 kwa daraja la pili.Picha na Anna Nkinda – Maelezo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad