MAWAZIRI SAMIA SULULU NA DR. TEREZYA HUVISA WAKAGUA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MONDULI, MKOANI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Nov 2012

MAWAZIRI SAMIA SULULU NA DR. TEREZYA HUVISA WAKAGUA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MONDULI, MKOANI ARUSHA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati alipowatembelea  katika Ziara ya Kukagua Miradi Inayawazeshwa na Asasi isiyo ya Kiserekali(NGO)y a African Wildlife Foundation (AWF) kwa Ufadhili wa Serikali ya Marekani  kupitia shirika lake la Maendeleo(USAID)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Wakiangalia Mkaa uliotengenezwa kwa Mabaki ya Mbao (wood biomas residues) Walipotembelea jiko la Shule ya Msingi ya Manyara Ranch Waliya ya Monduli Mkoa wa Arusha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira DkTerezya Huvisa Wakimuangalia Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch  Rahely Francisi wa darasa la tano akifungua Komyuta na Kupata Maelezo ya Masomo yao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Manyara Ranch wakati wa Kukagua Miradi Inayowezeshwa na asasi isiyo  ya kiserekali [NGO] ya African Wildlife Foundation (AWF) kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la maendeleo (USAID) Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad