CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA CHA ZINDUA CLUB YAO (JBC) - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Nov 2012

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA CHA ZINDUA CLUB YAO (JBC)

Add caption
Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha( AJTC) chazindua Club yao iitwayo (JBC-Journalism and Broadcasting Club) ili kuwezesha vijana wa chuo hicho kujitambua ,kujifunza na kutengeneza miili yao ,uzinduzi huo ulienda sambamba na uzinduzi wa Katiba na T- Shirt. pia Mkurugenzi wa chuo hico Bw. Mayagila K alikata keki pamoja na wageni waalikwa pamoja na kuchangisha michango ya kuimarisha chama hicho. Picha na matukio imeletwa kwenu kwa hisani ya Mkurugenzi wa blog ya www.wazalendo25.blogspot.com ambae pia ni mwana chuo wa chuo hicho






















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad